Jamii FM logo
90.5Mtwara – Tanzania
Voice to the Voiceless
◉ SIKILIZA LIVE

Jamii FM Radio

Habari | Elimu | Utamaduni | Maendeleo

▶ SIKILIZA LIVE 90.5 FM
Jamii FM
LIVE
๐ŸŽ™ KIPINDI KILICHOPO SASA

Inapakia...

EAT
▣ KIPINDI KINACHOFUATA

Inapakia...

EAT

HABARI MPYA LATEST NEWS

Inapakua habari za Jamii FM...

WAHUDUMU WETU

Jamii FM 90.5 — Sauti ya wasio na sauti, Mtwara.

24/03/2018

Serikali yakiri kujichanganya suala la umri


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Avemaria Semakafu amefunguka na kuweka wazi utata ulioibuka kuhusu kigezo cha umri wa kujiunga na masomo ya kidato cha tano na sita na kusema taarifa ambayo inasambaa imekuwa na makosa.

Semakafu amesema hayo alipoongea na www.eatv.tv na kusema kuwa yametokea makosa ya kiuandishi ila kujiunga na masomo ya kidato cha tano na sita ni miaka 25 na siyo miaka 20 kama ambavyo inasomekana katika taarifa aliyotolewa mapema leo. 

"Kumetokea makosa ya kiandishi, miaka ni 25 ya kujiunga sekondari na sio 20 kama ambavyo inasomeka kwenye ile karatasi"  alisema Semakafu 


CHANZO: EATV

No comments:

IDADI YA WASOMAJI

Search This Blog

Blog Archive

Powered by Blogger.

Labels

Popular Posts

1 ] )[0]; $title = $recent_post['post_title']; $excerpt = wp_trim_words( $recent_post['post_content'], 20 ); $image = get_the_post_thumbnail_url( $recent_post['ID'], 'full' ); ?>

Contact Form



Sikiliza jamii FM Radio

๐ŸŽง Jamii FM Live

HABARI ZA HIVI PUNDE

WAENDESHA WEBSITE