Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya vipindi vya mvua kubwa vinavyotarajiwa kuendelea katika maeneo ya mikoa 11 nchini.
Tuna vipindi mbalimbali vinavyohamasisha jamii katika kilimo cha Korosho, ufuta na Mhogo. tunaendelea na jamii inafurahia uwepo wa vipindi kwa sababu wanakutana na wataalamu moja kwa moja
Sauti ni muhimu hasa unapohudumia jamii ya vijijini, wasikilizaji hupenda kusikia sauti zao kwakua watu wao wanawafahamu, hivyo huwa kivutio kwako na ni rahisi jamii kuamini kuwa mpo pamoja nao
Afya ni sehemu ya vipindi vyetu kwenye radio, hii husaidia kuwapa fursa watu wanaopenda michezo kuwa pamoja na kubadirishana mawazo, michezo hujenga urafiki na undugu baina mwa jamii
Hupenda kushiriki na hujiona sehemu ya radio kwa kuwa huishi katika jamii, kipindi cha watoto kimekuwa kikifuatiliwa na watu wazima kwasababu kuu moja tu, watoto waishio vijijini huwa hawapewi kipaumbele kama tulivyofanya Jamii fm
Kipengere hiki hutoa fursa kwa wanajamii wanaotuzunguka kuongea moja kwa moja na kueleza hoja zao ambazo baadae hufuatiliwa kwa undani
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya vipindi vya mvua kubwa vinavyotarajiwa kuendelea katika maeneo ya mikoa 11 nchini.
Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) limeandaa Mkutano wa 11 wa Baraza ambao utaongozwa na Rais John Magufuli wiki hii.
Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Nyakabale wilayani Geita wametelekeza mwili wa marehemu nyumbani kwa mwenyekiti wa mtaa huu, Elias Ndarawa.
Mjasiriamali/Mwanahabari na
Mkurugenzi wa Compass Communications, Maria Sarungi amefungua kesi ya madai
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Mhariri wa Gazeti la Tanzanite
na Mwanasheria Cyprian Musiba kwa kumkashifu na kuchafua jina lake kupitia
mkutano wake na Waandishi wa Habari uliyofanyika tarehe 25 Februari, 2018.
Zaidi ya ekari tatu za bangi
zimeteketezwa kwenye msitu wa hifadhi ya Maisome iliyopo katika kisiwa cha
Maisome Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza .
Kamati Maalum iliyoundwa na
Rais Dkt. Magufuli na Kampuni ya Bharti Airtel yameanza rasmi leo tarehe 12
Machi, 2018 Jijini Dar es Salaam. 
Mkutano wa 62 wa Kamisheni ya hali
ya wanawake duniani, CSW umeanza leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa
jijini New York, Marekani.
Mwanasheria Jebra Kambole na Wakili
wa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo amefunguka
na kusema kuwa mpaka sasa ameshindwa kuonana wala kuongea na mteja wake huyo
ambaye anashikiliwa na jeshi la polisi.
Chama tawala nchini Burundi CNDD/FDD kimemtangaza Rais Pierre Nkurunzinza kama kiongozi mkuu wa kudumu au kiongozi wa milele ndani ya chama hicho.?php>