 Mbunge wa Nzega (CCM), Hussein Bashe ameshindwa kuvumilia matukio mbalimbali yanayojitokeza katika ardhi ya Tanzania na mwisho ameamua kuandika barua yenye hoja binafsi kwa Katibu wa Bunge ili kuundwe kamati ya teule ya uchunguzi.

Tuna vipindi mbalimbali vinavyohamasisha jamii katika kilimo cha Korosho, ufuta na Mhogo. tunaendelea na jamii inafurahia uwepo wa vipindi kwa sababu wanakutana na wataalamu moja kwa moja
 
Sauti ni muhimu hasa unapohudumia jamii ya vijijini, wasikilizaji hupenda kusikia sauti zao kwakua watu wao wanawafahamu, hivyo huwa kivutio kwako na ni rahisi jamii kuamini kuwa mpo pamoja nao
 
Afya ni sehemu ya vipindi vyetu kwenye radio, hii husaidia kuwapa fursa watu wanaopenda michezo kuwa pamoja na kubadirishana mawazo, michezo hujenga urafiki na undugu baina mwa jamii
 
Hupenda kushiriki na hujiona sehemu ya radio kwa kuwa huishi katika jamii, kipindi cha watoto kimekuwa kikifuatiliwa na watu wazima kwasababu kuu moja tu, watoto waishio vijijini huwa hawapewi kipaumbele kama tulivyofanya Jamii fm
 
Kipengere hiki hutoa fursa kwa wanajamii wanaotuzunguka kuongea moja kwa moja na kueleza hoja zao ambazo baadae hufuatiliwa kwa undani
 Mbunge wa Nzega (CCM), Hussein Bashe ameshindwa kuvumilia matukio mbalimbali yanayojitokeza katika ardhi ya Tanzania na mwisho ameamua kuandika barua yenye hoja binafsi kwa Katibu wa Bunge ili kuundwe kamati ya teule ya uchunguzi.
Mbunge wa Nzega (CCM), Hussein Bashe ameshindwa kuvumilia matukio mbalimbali yanayojitokeza katika ardhi ya Tanzania na mwisho ameamua kuandika barua yenye hoja binafsi kwa Katibu wa Bunge ili kuundwe kamati ya teule ya uchunguzi.
 #Jeshi  la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia watu saba kwa matukio mbalimbali ya uhalifu, wakiwamo vijana watano wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mlinzi wa SUMA-JKT.
#Jeshi  la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia watu saba kwa matukio mbalimbali ya uhalifu, wakiwamo vijana watano wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mlinzi wa SUMA-JKT. Soko la Kampochea lililopo Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam limeteketea kwa moto alfajiri ya leo Jumanne Machi 6, 2018 na kusababisha hasara kwa wafanyabiashara wa eneo hilo.
Soko la Kampochea lililopo Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam limeteketea kwa moto alfajiri ya leo Jumanne Machi 6, 2018 na kusababisha hasara kwa wafanyabiashara wa eneo hilo. Msemaji wa Zimamoto Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Peter Mwambene amesema jeshi hilo lilijitahidi kudhibiti moto huo, lakini tatizo kubwa ni aina ya bidhaa zilizokuwamo.
Msemaji wa Zimamoto Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Peter Mwambene amesema jeshi hilo lilijitahidi kudhibiti moto huo, lakini tatizo kubwa ni aina ya bidhaa zilizokuwamo. Ushirikiano
wa Kibiashara kati ya Tanzania na India umeendelea kuimarika kutokana na
kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa zinazouzwa na kununuliwa baina ya nchi hizo
mbili. Hayo yalisemwa na Mheshimiwa Sandeep Arya, Balozi wa India nchini
Tanzania wakati wa Kongamano la Kukuza Biashara kati ya India na Mtwara
lililofanyika jana Jumamosi tarehe 3 Machi, 2018 katika Ukumbi wa NAF Hotel
Apartment, Mjini Mtwara.
Ushirikiano

Apartment, Mjini Mtwara. Alisema mauzo ya bidhaa za Tanzania zilizouzwa India mwaka 2017
yaliongezeka kwa wastani wa asilimia 38 ikinganishwa na mauzo ya mwaka 2016.
Alisema mauzo ya bidhaa za Tanzania zilizouzwa India mwaka 2017
yaliongezeka kwa wastani wa asilimia 38 ikinganishwa na mauzo ya mwaka 2016. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa ufuta katika mikoa inayolima zao hilo nchini kuuza kwa kutumia njia ya minada na si mashambani.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa ufuta katika mikoa inayolima zao hilo nchini kuuza kwa kutumia njia ya minada na si mashambani. Wilaya ya Kisarawe imedhamiria
kuongeza kiwango cha ufaulu kwa
Wilaya ya Kisarawe imedhamiria
kuongeza kiwango cha ufaulu kwa?php>